Haka kamvua na kiwinta vinakukumbusha nini?


hapo ndio kasheshe, yaani vidume vyote huo ndio ulikua muda wa kucheza chandimu, kuangua matunda nk. i remember nilikua napiga boli balaa kwa hiyo mvua haikunisumbua

mabadiliko yalikuja nipoanza kuangalia wadada kwa jicho la tatu, hapo mvua turned from fun to ******** ==== balaaaaaaaaaaa
 
nimecheka mie hiyo ilikuwa miaka ya 80 vip sasa hali kama hii ya mvua unajisikiaje?

Sasa hivi nimeoa na mtoto moja wa kike. Hakika sipati tena baridiii, ni mambo ya kupasha whenever kuna baridi km ya leooooooo
 
Noname, umenifurahisha na signature yako, nimeipenda lol!

"I’m a woman who knows no defeat, for there is no ground to fall, as I chooses to stand, Despite my trembling knees, I conquer my fate. I am a woman who creates her own destiny"
 
..Mi nakumbuka mahindi ya kuchoma kule kijijini kwetu. Mida hii umejikunyata unachochea moto na mahindi kibao ukitoka hapo unanuka moshi unapiga kata ya maji ya kunywa unatafuta pa kumalizia usiku.
 
yaani inafundisha
tuoe tuache uzinzi
 

Niambie Lily yuko wapi na Monny yupo wapi kwani nahisi umewamiss sana
 
hahaaaa B siku hizi mbona chokest jamani..........those old good days aaah wacha bana

B speed ya net inanikwaza (miss u)


hawa SEACOM B usiajali......ngoja nitafute miwani yangu sasa kuna sehemu pananitatiza zioni vizuri
 
Niambie Lily yuko wapi na Monny yupo wapi kwani nahisi umewamiss sana

dah kaka its 28 yrs sijawaona nikikutana nao ntafurahi mno, kuna jamaa mmoja tulisoma nae, nilibahatika pata namba yake nikampigia akashangaa sana hakuamini, ntampigia tena ataniambia wapo wapi ntakujuza
 
Nahisi gesti za Sinza mauzo yameongozeka sana wiki hii........!!!
 
Nyumba yetu ilikuwa inavuja na tulikuwa tunatumia kibatari na mnajua tena mpakani mwa kENYA NA TZ kuna baridi sana.
 
Haaa Sisi wa mikoani tunakula kuku tu. Huku Mwanza jua lilishaanza kukamua mwanawane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…