Haka kanyumba kadogo alafu kazuri

Binafsi sijaikubali bora ingejengewa chini ingekaa vizuri zaid hivyo imekaa kama kibanda cha mlinzi
Umezoea majumba makubwa, mbona hiyo nyumba iko fresh tu.
 
Binafsi sijaikubali bora ingejengewa chini ingekaa vizuri zaid hivyo imekaa kama kibanda cha mlinzi
Space saver. Kiwanja kidogo hapo. Nyumba ya chini yenye sqm kama hio haikai kwenye hicho kiwanja.
 
Umezoea majumba makubwa, mbona hiyo nyumba iko fresh tu.
Kwa muonekano wake tu haiwez kuwa na nafasi ndani , ngazi zimeshakula nafasi hapo, sasa si bora angeijengea chini tu mzee, japokua inawezekana kafanya hivyo kutimiza ndoto ya kumiliki ghorofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…