Kijana Jr JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 560 Reaction score 845 May 27, 2016 #1 Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu kejeli matusi mnakaribishwa maana ntakua nimepata kipoint
Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu kejeli matusi mnakaribishwa maana ntakua nimepata kipoint
wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,172 Reaction score 1,128 May 27, 2016 #2 Mshana, mzizimkavu msaidieni huyu