Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Tena ? Si mmejifungia ninyi?
.....mzima...hakatwi mtu hapa....
Usitie hofu mpendwa....nipo vyema kabisa namshukuru Mungu!
Wii wangu soon tunatoa album yetu hapa hapa
kaka mzima!!!!!!
naisubiri my dia. Hajambo anakusalimu sana
Asante sana wangu kwa kunipenda. Leo sitasahau kuja. MiaLove you too baby,leo naomba usisahau kuja kunichukua
Na ndo mana ukazaliwa huko kwenu..."hakatwi mtu hapa" ndio slogan yako mpya?!Ila sitaomba hata siku moja kuzaliwa kwenu hahahaah
hakatwi mtu hapa
Ulipelekwa wapi na mkeo?Hahahaaaaa.....!!!. mia
Kama nyie wazima furaha kwetu,ntakuja this weekend hayo maeneo