Mko bize na semina at this juncture? Kwa nini msisome maoni yaliyotolewa na tume ya uchunguzi ya matokeo mabaya ya wanafunzi? Hizo pesa mngepeleka kwenye vitabu ningewaona mna nia ya kweli. Vinginevyo huu ni upu.uzi mwingine tu.
Taarifa za kwa nini elimu inashuka mnazo, afu mnakaa vikao vingine, wizi mtupu.
Mdau usiwe na jazba
ni mafunzo ya uongozi ili kwenda kuyatekeleza hayo uliyoyashauri
ahsante sana kwa mchango
Unadhani hapo wala nina jazba? Nimekutolea sauti yangu ya chumbani.
Ila ni ushauri tu.
Ina maana hamna viongozi kwa sasa walio tayari? Kazi ipo.