Haki hapa hapa duniani

Geechie

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
977
Reaction score
761
Maada hii nawaweka hawa mapimbi ambao waliwadhurumu wenzao haki ya kuendelea mbele na sasa Leo wamekutana na watoto wa mjini.

Kwa kifupi psg sio timu kubwa ndiomaana nimeandika kwa herufi ndogo ila Juve ni habari nyingine.Ule uboya wa marefa kuibeba barca naamini wa Italy watakausha mtu na UEFA wameshaonywa baada ya PSG kulalamika.

Ila kaujumbe haka pia kama jiwe gizani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…