Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa?
Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya viongozi wa serikali, ladba wenzangu mmewai SIKIA?
Soma Pia: