Kuna shamba ambalo kwa sasa ni kiwanja.Mzee/baba alinunua mwaka1985 heka 2.5.Alijenga nyumba ndogo ya mlinzi miaka ya tisini.Miaka ya 2000 mwanzoni akataka kuanza kujenga nyumba Kubwa lakini akasimamishwa asijenge true na viwanja vya majiran.Serikali ya mtaa ikaja kuthaminisha mwaka 2001.tangu kipindi hicho hawakuja kujenga wala kulipa chochote.kutokana na kasi ya kukua kwa jiji wale majirani wakapuuzia na wamejenga.ila sisi hatukujenga.Mwaka 2012 Mzee akatupa kama urithi tugawane na kuanza kupaendeleza.Sasa kuna tetesi kuwa wanataka kuanza kuthaminisha tena ili wajenge taasisi yoyote ya serikali.Sijui chochote kuhusu sheria za ardhi.
Kuna wizi wowote hapo ama nini?Tufanyeje?
Kuna wizi wowote hapo ama nini?Tufanyeje?