ndugu, tz hakuna vgezo ni mwendo wa bahati tu na unamjua yup katk sekta ipi. Ukitaka haki subiri mbinguni.. Kama haki anayo ridhiwan tu ila wengne hata familia ya nyerere haijapewa haki. Kama unaisubir haki stendi angalia utaota mizizi. Ili kdogo upate haki rekebisha maamuzi yako katka sanduku la kupga kura mwaka 2015 kwenye uchaguzi la sivyo kwa waliopo utasubiri haki milele kama fisi anayesubiria mkono wa mtu udondoke. CHANGES WE NEED and ur the part of these CHANGES. Only a drop can change the volume of sea water.