Mwezi May 2024 Jeshi la Polisi lilitoa tangazo la ajira kutokana na viwango vya elimu na kada mbalimbali.
Tar 22/07/2024 Tangazo la kuitwa kwenye usaili lilitangazwa, ambapo kwa Tanzania bara idadi ya vijana walioitwa ni 31930(ambapo kwa wenye fani ni 2238)
Kwa upande wa Zanzibar vijana 2068.
Tar 24/09/2024 tangazo la wito wa kuripoti chuo cha Polisi Moshi vijana waliochaguliwa ni 3500 tu kati ya 33998, Je 30498 wapo upande upi?.
Wito: Tunaliomba Jeshi la Polisi lizingatie mambo yafuatayo:-
1. Katika tangazo la ajira Jeshi litoe idadi kamili ya vijana wanaohitajika kutokana na kada husika na kiwango cha elimu.
2. Mchakato wa Usaili uwe wazi na haki itendeke kutokana na vigezo husika vinavyohitajika.
3. Sababu za kutokuchaguliwa zitolewe kupitia Portal Accounts za wahusika.
Inasikitisha sana, vijana wazalendo wenye malengo ya kulitumikia taifa kupitia Jeshi, kila mwaka ajira zinapotoka hawapati nafasi ilihali wana vigezo vyote vinavyotakiwa.