maliki marupu
Member
- Nov 5, 2011
- 8
- 0
Habari za mda huu watanzania wenzangu na poleni sana kwa majukumu ya kulitumikia taifa.nina uhakika wengi mnamawazo makubwa ktk kusheherekea mwaka mpya maana baada ya sikukuu basi ni kuhakikisha kuwa watoto wanakwenda shule.hivyo mawazo yatakuwa zaidi ya mwaka 2011.poleni sana hayo ndo majukumu yenyewe.pia ninawashukuru sana wasomaji wa makala zangu kwa ushurikiano wenu na ushauri wenu na maono yenu juu ya mustakabari wa taifa hili kitaaluma asanteni sana.leo tunajaribu kuangalia mustakabali wa wanafunzi na wanachuo ktk kupata kinga ya matibabu kupitia bima ya afya.ni jambo muhimu sana kuhakiki uwezo na hali ya kiafya kwa wanafunzi na wanachuo ktk kuhakikisha kuwa wanakuwa na afya njeama ili waweze kuhudhulia vyema masomo yao.suala hili limekuwa na utata mkubwa na hofu tengefu kwa wanafunzi nchini hii ni kutokana na kuwepo na mipango mikakati duni ktk kulinda afya za wanafunzi.mfano mzuri ni kuwa wanafunzi hawana bima za afya au vibari vinavyoweza kuwasaidia kupata matibabu bure au kwa kuchangia gharama kidogo ili kuwawezesha kupata matibabu ya msingi.hali duni za kiafya zinachangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kutofanya vizuri masomoni iwe ni chuo au ktk shule. Na jambo hili muhimu kwa wananchi halipewi kipaumbele hata kidogo ktk mipango mikakati katika idara ya afya .vijana wa kitanzania wanateseka kwa kiasi kikubwa sana hasa kwa wale waosoma mbali na familia zao na wametoka ktk familia za hali ya chini.bima kwa wanfnz ni muhim 0712o99058