Nchi imetumia pesa nyingi sana kuhamasisha watanzania kwa kaulimbiu ya kupigakura ni hakiyako, Inashangaza kuona kuwa kupata matokeo ya kile kilichowaweka watu katika misululu inakuwa ni hisani itayotolewa wale waliowekwa vitini. Ni wazi tunaona jinsi wanavyomtumikia mhisani wao.
MSITUHARIBIE NCHI YETU ATHIMU!