inawezekana na pia haiwezekani, inategemeana na mazingira (pamoja na kwamba generally kama mama yuko katika hali nzuri tu, mtoto wa miaka chini ya saba kwa ustawi wake bora anatakiwa kukaa na mama), baadaya miaka saba ndo mambo yanaweza kubadilika au yasibadilike. kuna kitabu kizuri sana kimeandikwa kinaongelea pia mambo hayo ya mtoto akae wapi kwa wazazi wasioishi pamoja bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI kukipata
Naomba kujuzwa hili, alienyang'anywa mtot alishakata rufaa je hakimu atamtatulia tatizo kwa kumrudshia mtot mana nimeckia kauli kwamba mahakimu hawakosoani. Sasa hapo napata utata naombeni mchango wa mawazo ndugu zangu.
Swali jingine ni kuwa rufaa inakuwa tena na mlolongo mrefu au inakuwaje?
kama unahisi umeoniwa una haki ya kukata rufaa kwani kuna mahakama ambazo hazina power ya kuamua baadhi ya kesi na mahakama zipo kwaajili ya kuprovide haki za watu zisipotee, rufaa pia huweza kuchukua muda kwani inabidi wasikilize kesi upya na pia maamuzi yakiyotolewa mwanzo kama yalikosewa au hapana.