mi ni mwalimu shule flani secondary wakuu wananisumbua kunipa uhamisho wa kumfuata mume wangu aliko na ni nimepereka cheti cha ndoa na barua ya kuomba kuhama ,naambiwa nitafute mwalimu mbadala ni mpereke ndo ni hame
mi mwalimu wa kike nimetuma barua pamoja na cheti cha ndoa kuomba kumfuata mume wangu aliko naambiwa na DEO ni mtafute mwalimu mbadala nimpereke ndo ni pate kuhama kituo cha kazi cha sasa je NIFANYEJE wana Jamvi naomba ushauri wenu