Nafahamu vyama viwili vya walimu CWT na CHAKAMWATA. Je ni sawa CWT kuendelea kuchukua 2% kwa mwalimu ambaye amehamia CHAKAMWATA na kuidhinisha kwa fomu TUF 6 kuwa michango ielekezwe CHAKAMWATA.
Mliohama CWT naomba mnisaidie kama mnaendelea kukatwa 2% kama ada ya uwakala.