The Public Service Regulations, 2003, regulation 13(a)(b) Inasema, ulipwe pesa ya usafiri pamoja na pesa ya kujikimu Kwa Mwajiriwa Mpya. Unachotakiwa Kukifanya Utunze Tiketi Zako Na Stakabadhi Za Malipo Za Nyumba Za Kulala Wageni. Utazionesha Kwa Mwajiri Wako Ili Urudishiwe.