Haki ya kumfuata mwenza(mume/mke)

Haki ya kumfuata mwenza(mume/mke)

KATA

Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
15
Reaction score
0
Naomba msaada wa kisheria kuhusu haki ya kumfuata mwenza kwa wanandoa ambao wote ni watumishi wa umma na wananyaraka zinazohitajika kama vile cheti cha ndoa. Mosi, nani anahaki ya kumfuata mwenzake. Pili, anapokataliwa ni hatua zipi anapaswa kuzifuata.
 
Haki katika sheri ni kile kilichoandika katika ile sheria. Hiyo ndo haki.
Kuhusu swala la kumfwata mwenza hiyo serikali ilishasema hawataki kusikia. Uchague ndoa au kazi. Ukitaka ndoa, acha kazi ufwate ndoa.
Kuushauri tafuta njia nyingine yakupata uwamisho.
 
Serikali ipi mkuu.
 
Hakuna sheria yeyote inayosema mwana ndoa mmoja ana haki ya kupewa uhamisho kumfuata mwenzake.
 
sheria kwa maana nyingine ni utaratibu uliozoeleka kutumika so hapo ni busara na ustaarabu ndo huwa unafanyika waeleze wahusika na kama hizo taasisi zipo kati ya mkoa uliopo unawaomba wakuamishe tu mkuu na yeyote tu anaweza mfuata eg benk utaratibu wao wanawatafutia mkoa mmoja wenye matawi mawili au zaid
 
Back
Top Bottom