Haki ya kupiga kura watanzania waishio south korea

Haki ya kupiga kura watanzania waishio south korea

shugri

Member
Joined
Mar 22, 2010
Posts
67
Reaction score
11
Wadau
naomba niulize muda wa kupiga kura unakaribia, tangu nifike korea nilipewa taarifa kuwa hakuna ubalozi wa chancelor muwakilishi wa korea. Nikataarifiwa na wwenyeji wangu kuwa nikiwa na tatizo ni lazima niwasiliane na balozi wa tanzania aliyopo Japan.

Yote sawa lakini muda wangu wa kukaa huku unatarajiwa kuwa ni mrefu sana, kiasi kwamba sitaweza kurudi nyumbani kwa ajili ya kushiriki haki yangu ya msingi ya kumchagua kiongozi ninayemtaka!

Je mie na wenzagu wengi tutashiriki vipi katika mchakato ambayo ni haki yetu ya msingi?

kama kuna mtu amabye anajua jinsi nnavyotakiwa kushirii naomba anifahamishe.


Just an observation:target:
 
Hakuna Mtanzania aishie nje ya nchi ana fursa ya kupiga kura. Tumeomba tupatiwe nafasi ya haki yetu ya kuchagua viongozi kwa miaka mingi sasa, lakini maombi yetu bado kusikilizwa.
 
Duh i never expected that! Its bad--does it mean i can only utilize my political right only when am home?
thanks for the insight though
 
Back
Top Bottom