Burungutu la pesa
Senior Member
- Feb 21, 2015
- 117
- 32
naomba kujua hatua gan zichukuliwe kisheria endapo mtu atapokonywa haki yake ya kupiga kura. mimi ni mhanga ambaye nimehamishwa kikaz kutoka mkoa niliojiandikishia na sasa npo mkoa mwingine. taarfa za NEC zinasema hutaruhusiwa kupiga kura nje ya kituo ulichojiandikishia. naona haki yangu inapokpnywa. naomba msaada wa kisheria ili nipate haki hii ya msingi kwa mstakabali wa maisha yangu.