CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona orodha ya haki za binadamu inazidi kupanuka. Tumesikia sheria zikitungwa kulinda haki za mashoga, wasagaji. Sasa nchini Misri wanaume wanadai haki ya "kuwaaga" wake zao waliokufa kabla hawajazikwa!! Umeipata hiyo? Msinichoshe nisiwachoshe soma gazeti la BMETRO la Zimbabwe.
imeongelewa Clouds FM kwenye njia panda ! Alialikwa Doc, mwanasheri kisha msomi wa Sheria za Kiislaam, ilikuwa raha. Wagala waliappreciate !Na mume akifariki, haki ya mke inakuwaje? Au inabidi bunduki iamshwe kwa umeme?