Self murder is a crime punishable to eternal condemnation in hell.
Nimefuatilia makala ya Star TV juu ya watu watano wanaosubiri hukumu ya mahakama iwapo kuna uwezekano wa kukatisha maisha yao kwa kujiua kutokana na sababu mbalimbali.
Awali aliyedai haki hiyo alijiua baada ya kuchoshwa na kusubiri hukumu ya mahakama na ameshitakiwa kesi ya mauaji japo ameshajiua.
Kadhia hii inaungwa mkono na watu maarufui akiwemo Askofu Desmoind Tutu aliyewahi kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel.
Wasifanye maamuzi ya haraka wamtangulize mungu kabla ya yote.Hayo ni mapepo yanasababisha watu wajinyonge,
Tatizo kule Ahera hutakiwi kujipeleka, inatakiwa upelekwe! Ukijipeleka kabla ya siku zako, unakuwa na kesi nyingine ya kujibu!
this is law and morality meet...thread yako imenikumbusha a certain case (Aruna's case) ya India, its not easy kwa mahakama kukubaliana na mtu kujiua
Did He kill himself or was He Killed because Judas betrayed Him?But our bible says Jesus choose to Die by Getting Crucified.
He sayed that Himself in the bible.
Is he going to be punished in eternal Hell?.
Everything is spiritual.this is more spirituaal than legal
Did He kill himself or was He Killed because Judas betrayed Him?
Jesus was betrayed by Judas, in fact Judas was even paid for that. Stop telling lies.He decided to be killed. That on its own is a suicide.
He choose to die for our Sins.
He could decided to change his Decision but he stick to it.
I'm always confused why he choose that path of Killing himself.
He Knew Yuda will do that anyway but he Continued with his plan.
Everything is spiritual.
You comprehended not.Fallacy
You comprehended not.
This what we call low self esteem. You are talking junks.your are in a dogmatic slumber
Jesus was betrayed by Judas, in fact Judas was even paid for that. Stop telling lies.
Matthews 27:3 When Judas, who had betrayed him, saw that Jesus was condemned, he was seized with remorse and returned the thirty pieces of silver to the chief priests and the elders.
This what we call low self esteem. You are talking junks.
tatizo ikihalalishwa itatumiwa vibaya hata wanaoakosa mlo mmoja watataka kujiua
Una uhakika uendako hakuna mateso?