E elimsu Member Joined Aug 27, 2010 Posts 31 Reaction score 3 Mar 2, 2011 #1 Wanamichezo wenzangu naombatujiulize sh. millioni sita zinazolipwa kwa vilabu ligi kuu ya vodacom ni sawa?na vipi kuhusu mgao wa simba na yanga ambao wana washabiki lukuki, je mgao wao ni halali kuwa sawa na timu zingine?
Wanamichezo wenzangu naombatujiulize sh. millioni sita zinazolipwa kwa vilabu ligi kuu ya vodacom ni sawa?na vipi kuhusu mgao wa simba na yanga ambao wana washabiki lukuki, je mgao wao ni halali kuwa sawa na timu zingine?