Ndugu zangu wanajamii naomba kujuzwa kuhusu hili. Mfanyakazi anakuwa na haki gani ama kama kuna malipo yoyote pale mkataba wake wa kazi inapokatishwa ghafla.

Mwajiri anapo sitisha ajira yako ghafla kwa sababu yeyote ile isipokuwa wizi na utovu wa nidhamu anatakiwa akulipe mshahara wa miezi kumi na mbili, nenda pale tume ya usuluhishi watakusaidia