Kwa wajuaji wa sheria je haki ya kupata dhamana kwa mtuhumiwa ikoje? Je utaratibu wa kutoa pesa police ili upate dhamana ni sahihi? Je kujidhamini mwenyewe unapaswa uwe umepata vigezo gani? Tuzungumzie makosa yanayodhaminikI yale ya mtaani kabisa mfano kupigana