Sheria za kazi (Utumishi wa umma) zinasemaje kuhusu mtumishi anayetaka kwenda kujiendeleza kimasomo wakati hajamaliza hata mwaka mmoja kazini na ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe.
Kwa uelewa wangu (si mkubwa sana), kila shirika, taasisi, n.k., ya umma ina staff development policy ambayo inaongoza utaratibu husika. Kwa upande wa waraka wa kisheria naomba wanasheria watuambie ...
kama we ni mtumishi serikalini, waulize Maafisa Utumishi wa Idara yako wakupatie STANDING ORDERS FOR PUBLIC SERVICE ambayo ni current(2009) uipitie kila kitu kimefafanuliwa vizuri juu ya watumishi wanaotaka kujiendeleza kimasomo: