Uchaguzi 2020 Haki ya mwananchi kupiga kura iko wapi? Ikiwa mgombea anapita bila kupingwa?

Uchaguzi 2020 Haki ya mwananchi kupiga kura iko wapi? Ikiwa mgombea anapita bila kupingwa?

Raphael focus

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2018
Posts
779
Reaction score
4,564
Kama mada inavyojieleza hapo juu, karibu ndugu msomaji tujadili.

Tanzania ni nchi inayoendesha shuguli zake za mamlaka kwa mfumo wa Demokrasia kama ilivyo ainishwa katika utangulizi wa katiba.

Haki ya kupiga kura katika chaguzi mbalimbali ndio mamlaka kuu aliyonayo mwananchi katika kuamua hatma ya uongozi na mwenendo wa nchi yake. Kwamaana hiyo mwananchi anayo haki ya kumpigia kura mgombea anayemtaka.

Ikiwa wagombea wanapitishwa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa ( NEC ) bila kupingwa na kuwa wagombea pekee katika jimbo, je mwananchi anaijua haki ya kupiga kura?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom