mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Kwahiyo nia yako tukupe jinsi???sijajua nitampataje kwani nikiongea nae bado ananipotezeapotezea
Sasa usishangae shangae tena ....,,
Sasa usishangae shangae tena ....,,
Huenda huyu ashabikiriwa tayari, sasa sijui utafanyaje ili ujiridhishe kwani wa kwanza aliona huwezi kufanya inauguration akamtafuta mwenye nia aso kuremba remba! Any way, utoto wako usituletee humu jfukimpata hakikisha unakula 2ndi mapeeeema.
Kwahiyo???Alafu mpaka hilo umejua ila ndoano imekushinda kurusha???Au ndo maneno ya vijiweni umehadithiwa?Huyu hajabikiriwa. ........
Sasa ye anakaa kutuhadithia walivyofanana wakati wenzake wanatafuta hati miliki!Hahahahhaaa hapa Lizzy umenifurahisha. Kweli asishangae tena. Maana wakati anaandika humu JF kuna wenzie wanamvizia tayari. Kaka kimbia wahi na huyu utamkosa. Maana kuna njemba zimejaaliwa kuimbisha hadi wanalia.