Haki ya nani X wangu atapata tabu sana na mpango wangu Februari 14

Haki ya nani X wangu atapata tabu sana na mpango wangu Februari 14

De Opera

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
780
Reaction score
1,664
Screenshot_20230213-122131~2.png

Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. πŸ˜‚

Mwenye plan nyingine anipe tafadhali!

---------------πŸ‘‡--------------
This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what suits you! πŸ™Œ

Sometimes we need to be funny, so kila muda umekunja tu sura! Utakuwa na matatizo ya akili! 😁
 
Mpaka unafikia hatua ya kufanya hivyo hem sema kosa ni la nani? aliemove on au kosa la aloshindwa kumove on mpaka anataka amuharibie mwenzake?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka unafikia hatua ya kufanya hivyo hem sema kosa ni la nani? aliemove on au kosa la aloshindwa kumove on mpaka anataka amuharibie mwenzake?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa roho ngumu niseme tu mimi ndio nimeshindwa mkuu halafu yeye after 3 days amepata. So, wanapita hapa kwa mbwembwe ili kunikomoa. πŸ˜‚
 
Kwa roho ngumu niseme tu mimi ndio nimeshindwa mkuu halafu yeye after 3 days amepata. So, wanapita hapa kwa mbwembwe ili kunikomoa. πŸ˜‚
Huyo wa after 3 days alikuepo toka mda sema mda muafaka ndo umefika kuwekwa public πŸ˜‚
 
Huyo wa after 3 days alikuepo toka mda sema mda muafaka ndo umefika kuwekwa public πŸ˜‚
Baasi nami sikubali. Niko nafuatilia machimbo yao, na hapa naangalia kwenye Network system yangu, naona wamefanya booking hotel fulani hapa town. Sasa ninachokifanya, naunganisha bomba la maji kwenye compressor hadi kwenye hiyo room. Nataka kesho niwaogeshe vizuri! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom