Kwa roho ngumu niseme tu mimi ndio nimeshindwa mkuu halafu yeye after 3 days amepata. So, wanapita hapa kwa mbwembwe ili kunikomoa. πMpaka unafikia hatua ya kufanya hivyo hem sema kosa ni la nani? aliemove on au kosa la aloshindwa kumove on mpaka anataka amuharibie mwenzake?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huyo wa after 3 days alikuepo toka mda sema mda muafaka ndo umefika kuwekwa public πKwa roho ngumu niseme tu mimi ndio nimeshindwa mkuu halafu yeye after 3 days amepata. So, wanapita hapa kwa mbwembwe ili kunikomoa. π
Baasi nami sikubali. Niko nafuatilia machimbo yao, na hapa naangalia kwenye Network system yangu, naona wamefanya booking hotel fulani hapa town. Sasa ninachokifanya, naunganisha bomba la maji kwenye compressor hadi kwenye hiyo room. Nataka kesho niwaogeshe vizuri! ππHuyo wa after 3 days alikuepo toka mda sema mda muafaka ndo umefika kuwekwa public π