Waungwana,
Mnamo March, 2013, nilisaini mkataba wa kupangusha nyumba hapa Arusha kwa miezi sita(2,100,000) kwa maandishi. Bahati siku chache kabla ya kuhamia nikapata uhamisho na nikamjulisha mwenye nyumba; akasema hela ya kurudisha hana! Keshazitumia.
Tukakubaliana nimpe ufunguo dalali wake na akipatikana mpangaji mwingine nitarudishiwa.
Tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara na majibu ikawa hajapatikana mtu.
Mwezi Desemba nilitakiwakurudi Arusha; hivo nikauliza mwenye kama naweza kukaa kwenye ile nyumba? Ajabambua aliahapata mtu! Ukabidu niulize juu ya makubaliano yetu! Naona Lugha yake inabadilika!
Mara anasema muda wangu umepita, mara siyo wajibu wake kunilipa vile siyo yeye aliyesababisha mimi kutohamia!
Nauliza ni kweli sina haki hapa? Na ni hatua zipi nizifuate kudai xhangu? Nahisi huyu mtu kaingia tamaa!!!
Naimbeni muongozo wenu wataalamu