Haki za bima ya afya kwa mfanyakazi

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Wadau habari zenu?
Naomba wataalamu wa sheria wanijulishe kuhusu haki ya mfanyakazi kupata bima ya afya (yeye mwenyewe, mke/mume wake na watoto).

Sehemu nyingi nilizopita kufanya kazi, hususan ktk International organisations/companies nimekuwa nikikuta utaratibu wa mfanyakazi kupatiwa bima ya afya (ya kwake mwenyewe, ya mke/mume wake na watoto wanne au sehemu zingine yeye mwenyewe, mke/mume wake na watoto na/au watu tegemezi wanne ).

Lkn kuna kampuni moja ya kimataifa hapa Tz inadai inalipia bima ya afya kwa mfanya kazi tu - hao wengine, sijui mke/mume na watoto watajijua.

Swali:
1)International Labour Laws zinasemaje?
2)ILO inasemaje?
3)Sheria za Tz zinasemaje?
 
Jamani naombeni msaada wenu?
Kuna dogo anataka kwnda kusaini mkataba wa kazi na kampuni fulani na amedokezwa kuna kitu kama hich hap juu ktk issue ya health insurance. Naomba ushauri wenu, asije akaingia mkenge!
 
Duh, great thinkers!
You let me down!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwakuwa GT leo wako nyumbani na inaonekana huwa wanatumia internet ya ofisini, nakushauri anza na kusearch kwenye google. then kesho ndo utaona wanavyomiminika
 
Sheria ya Tanzania kwa bima ya afya, beneficiaries ni mtumishi, mke na watoto/wategemezi wanne kwa kipindi chote ambacho mtumishi aendelea kuwepo kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…