Haki za kazi za wasanii

Haki za kazi za wasanii

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,272
Sidhani kama kuweka label kwenye kazi za wasanii kutatatua tatizo la kazi zao kuibia kwa sababu bado zinaweza kunakiliwa kama kawa na kuuzwa ukizingatia wateja wengi wanatafuta unafuu.

Kwanini zisitengenezwe in way kwamba haziwezi kuwa duplicated? ambayo itamlazimu mtu kununua original tu?

Mlale salama muwaote muwapendao
 
Back
Top Bottom