nyamihela Member Joined Mar 15, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Mar 16, 2012 #1 Haki za msingi za binadamu ni zipi? na kama zikivunjwa natakiwa kuchukua hatua zipi na sehemu gani? haki hizi zimeanza lini na zinapatikana ibara ipi katika katiba?
Haki za msingi za binadamu ni zipi? na kama zikivunjwa natakiwa kuchukua hatua zipi na sehemu gani? haki hizi zimeanza lini na zinapatikana ibara ipi katika katiba?
Thomas Odera JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 673 Reaction score 154 Mar 17, 2012 #2 Mkuu chukua katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz toleo la mwaka 1977 usome kipengele kinachohusu haki za binadamu
Mkuu chukua katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz toleo la mwaka 1977 usome kipengele kinachohusu haki za binadamu