U uncle JF-Expert Member Joined Dec 10, 2007 Posts 325 Reaction score 184 Sep 24, 2022 #1 Hivi sheria inampa haki gani mteja wa Makampuni ya simu anapokosa huduma za kampuni husika kwa makosa yao kama tigo pesa kutokuwa hewani kwa masaa kadhaa.
Hivi sheria inampa haki gani mteja wa Makampuni ya simu anapokosa huduma za kampuni husika kwa makosa yao kama tigo pesa kutokuwa hewani kwa masaa kadhaa.
M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 871 Reaction score 1,475 Sep 24, 2022 #2 Nasubir jibu ili namimi nipate mwanga hapa.