matthew's Member Joined Aug 3, 2014 Posts 12 Reaction score 3 Jan 2, 2015 #1 hivi askari anapotumwa kwenda kumkamata mtu ni haki gani anayokuwanayo mtu yule anaetaka kuchukuliwa na polisi kupelekwa kituoni ikiwa hana chochote anachokifahamu kinachoendelea.
hivi askari anapotumwa kwenda kumkamata mtu ni haki gani anayokuwanayo mtu yule anaetaka kuchukuliwa na polisi kupelekwa kituoni ikiwa hana chochote anachokifahamu kinachoendelea.
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Jan 3, 2015 #2 Jifunze kuangalia thread ambazo ni sticky hapo juu.