ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi
Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao
Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana kuondosha uharifu
Polisi hawapo juu ya sheria, wakikengeuka wanaweza kushtakiwa na mkono wa sheria ukawakuta
1. Ukamataji
Polisi wanapomkata raia wanapaswa kuwa na hati ya ukamataji
Pia kujitambulisha mbele ya mtuhumiwa Kwa majina na vyeo vyao na nambari zao.
Sio kumzoea mtu kama mwewe
2. Kuhusu matumizi ya nguvu.
Polisi hapaswi kutumia nguvu Kwa mtuhumiwa anayetii amri ya polisi, asiyetoroka
Kufanya hivo ni kinyume cha sheria na inatakiwa kushtakiwa mahakamani
3. Polisi hapaswi kutumia lugha chafu Kwa mtuhumiwa/ matusi.
Mtuhumiwa hayupo hapo kudhalilishwa na polisi Kwa matusi
Kwa kufanya hivo polisi atakuwa kushtakiwa
4 polisi haitakiwi kumpiga wala kumwadhibu mtuhumiwa
Chombo chenye mamlaka ya kutoa adhabu ni mahakama pekee na sio polisi
Ukipigwa na polisi nenda ukashtaki mahakamani
5. Ukifikishwa kituoni hakikisha unaandikiwa kosa ulilokamatiwa nalo.
Kumekuwa na masuala ya kubambikia watu kesi
Ukifikishwa kituoni, kama mfano umekatwa Kwa kosa la kupigana hakikisha ndo hilo usije andikiwa kosa la ubakaji
6. Kuandika/ kutoa maelezo ya awali
Ukiwa polisi ukaambiwa kutoa maelezo ya awali na polisi hakikisha polisi anayeyaandika baada ya kumaliza anakupa usome au akusomee Kwa sauti, au akupe uandike mwenyewe. Una haki ya kuyakataa, kupunguza au kuongeza chochote
7. Mahojiano na polisi
Ukiwa unahojiwa hakikisha yupo mtu mwingine kama shahidi au wakili.
Usikubali kuhojiwa peke yako
8. Rumande
Ukiwa rock up inatakiwa upewe haki zote vizuri Kwa maana ya chakula, malazi na matibabiu kama utakuwa mgonjwa
Ukiwa ikiwa utakosa haki zako inatakiwa ukashtaki mahakamani
9 kuwapa taarifa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu ukamatwaji wako.
Ukiwa polisi hakikisha ndugu wanajua ulipo
Ni haki yako kuwataka polisi kuwajulisha watu wako kuwa upo mikononi mwa polisi
10.Omba kufikishwa mahakamani
Polisi wanakushilia usizidi masaa 24 kabla ya kufika mahakamani kudai haki zako
Ni baadhi tu, Niko hapa hii weekend kujibu swali lolote kuhusu jeshi la polisi
Wasaalam