Haki za wanawake katika kumiliki mali za ndoa

mwl.lukiko

Member
Joined
May 2, 2013
Posts
26
Reaction score
7
haleluya!
napenda kujua ni matatizo yapi wanawake wanakutana nayo juu ya haki yao ya kumiliki mali chini ya sheria za kiislam, sheria za kimila, na statutory law
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…