Ibara ya 13(4) katiba ya Tanzania marekebisho 1977 inasema kuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi au ya chama na vyombo vyake.
(5) Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno "kubagua" maana yake ni kutimiza haja haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao,kabila,pahala walikotokea,maoni yao ya kisiasa,rangi,dini au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambayo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko ya masharti au sifa za lazima.
RASIMU: Ibara ya 46 Kila mwanamke ana haki ya: (a) kuheshimiwa utu wake (b) kuwa salama dhidi ya unyonyaji na ukatili (Kushiriki bila ya ubaguzi katika chaguzi na ngazi zote za maamuzi (d) kupata ajira sawa na wanaume katika kazi (e) kulindwa dhidi ya ubaguzi,uonevu na mila zenye madhara (f) Kulindwa kwa ajira yake wakati wa ujauzito na pale anapojifungua na (kupata huduma ya juu ya afya inayopatikana" Mwisho wa nukuu.
SWALI: 1. Haki za wanaume ziko wapi? Je, neno "Mtu" katika ibara ya 13(4) na ufafanuzi wake (5) neno "watu" yana
maana wanaume?