Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Wanyama wanaonja na kuhisi kama sisi binadamu kwa vile sote tuna miili yenye nerves za utambuzi na milango ya ufahamu. Tunawajibika kulinda hakiza wanyama, maana manyanyaso ya wanyama yanazidi kuendelea kuwepo licha ya jitihada za kuwaelimisha watu juu ya ukweli huu.
Haki za wanyama?Mnyama ana haki gani.Wewe ni Freemason nini.Nenda kachinje ule bwana,asikuzingue.
Nihurumie, Nihurumie
Naumia, Naumia !
Tafadhali niache....
Pazi na Jogoo!
Tujifunze lugha yetu darasa la nne, lileeee la ukweli.