Haki za watoto

Haki za watoto

Hollyreath

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
126
Reaction score
12
Jaman hivi ustawi wa jamii idara ya watoto, mbona hatuelewi, imagne mtoto anaishi na shangazi yake ,anamfanyia ukatili kwa kumpiga na kumnyima chakula,,halafu ofisi za ustawi wa jamii,,zina sema hawawez kuingilia uhuru wa familia,kwasababu yule ni ndugu wa damu. Can this be serious???
 
Back
Top Bottom