Kwanza mods naomba wanisamehe kwa kuweka hii mada jukwaa ambalo sio lake kule jukwaa la sheria sijui kesi ni nyingi mahakamani naweza post kitu kisipate hata majibu
Anyway
Nilikuwa naomba mwongozo wa kujua haki zangu pindi ninapokamatwa na polisi kwa makosa mbali mbali
Kuanzia polisi wa usalama barabarani
Polisi wa kawaida
Na wale tigo wale
Na kama kupekuliwa, kuhojiwa, kupelekwa mahabusu au kituoni ni haki zipi ambazo zinasimama kuni back up na polisi anatakiwa afuate procedure zipi??
Yaani wenye ufahamu, na uelewa wa haya mambo tusaidiane