Hakika bado tuna safari ndefu ya kutransform mpira wetu: Yaani unajipima na coastal union alafu ukapate competition na Morocco kweli?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
FULL TIME - Friendly Match

Coastal Union 1️⃣ ➖ 2️⃣ Taifa Stars
⚽️ Kibu Denis
⚽ Kibu Denis
⚽ Amara Bagayoko

Naona Kabisa timu ya Taifa stars haipo serious huwezi kufanya maandalizi na coastal union na Kisha uende kuchuana kimataifa tena na timu zenye uchu kweli kweli Wa kutoboa kuingia kwenye michuano ya kombe la dunia

Maoni yangu: Taifa stars Wameenda kukamilisha ratiba tu ya kushiriki na siyo timu shindani katika ulimwengu Wa mpira
 
Karia sijui ana lengo gani na mpira wa nchi hii! Sema ana bahati sana anaongoza kipindi ambacho mpira wetu umeingia sokoni.sio kama kipindi cha kina tenga mpira ulipokua unatolewa poring gizani kuletwa mjini!
 
Ashukuriwe Azam media kwa kuuboresha mpira wetu na sio Karia
 
Karia sijui ana lengo gani na mpira wa nchi hii! Sema ana bahati sana anaongoza kipindi ambacho mpira wetu umeingia sokoni.sio kama kipindi cha kina tenga mpira ulipokua unatolewa poring gizani kuletwa mjini!
Mpira WETU ni oya oya tu.
 
Morocco hiii ya Dar au wale wa Kombe la Dunia...😀😀😀😀
Tunawapiga hao jamaaa
 
Karia sijui ana lengo gani na mpira wa nchi hii! Sema ana bahati sana anaongoza kipindi ambacho mpira wetu umeingia sokoni.sio kama kipindi cha kina tenga mpira ulipokua unatolewa poring gizani kuletwa mjini!
We unaamini Tanzania inaweza kufuzu world cup halafu morocco ikabaki?
 
Fifa ilikosea sana kuwahakikishia kinga viongozi wanaosimamia football.

Karia ana kiburi kwamba Serikali haina mamlaka ya kumwondoa hapo.
Huyu ni bogus kabisa.

Serikali, Mtafutieni zengwe huyu, mpeni zile kesi zenu za uhujumu uchumi, utakatishaji au kuongoza genge la uharifu....kama mlivyomchomoa Malinzi.

Mradi tu atoke hapo bila shirikisho kufungiwa na Fifa.
Shenzi sana huyu.
 
Kila analolifanya karia jua mbogamboga anahusika, minista wa mispoti ana ganji toka TFF unategemea nini?
 
Tuna safari ndefu au iyo safari hatuna kabisa?
 
Karia sijui ana lengo gani na mpira wa nchi hii! Sema ana bahati sana anaongoza kipindi ambacho mpira wetu umeingia sokoni.sio kama kipindi cha kina tenga mpira ulipokua unatolewa poring gizani kuletwa mjini!
Hakuna kitu pale kapata zali tu la kuongoza kipindi ambacho soka letu lina vibe
 
Kwani coastal union sio timu ndugu? Au unaiamini pekee ile timu inayo kimbia derby?Bahati mbaya kwake hupati kipimo kizuzi kama ukicheza na coastal kwani Uyanga na usimba una mbeleko ndani yake wakati mwingine.
 
Unadhani serikali haioni madudu yake?

Serikali haikurupuki we tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…