kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata div 3 ya 16.Kutokana na hofu nilichagua kozi za education zote but kutokana na competition nikawa not enligible so ikabidi nichague course kipenzi changu ya moyoni nayo ni account pale IAA.MUNGU si athuman nikapata na mkopo wamenipa Mil 2,732000 japo si nyingi ila nimefurahi sana.HAKIKA BO
kijana unatakiwa kujua kuwa kwa sasa unaelekea katika maisha mapumu ya kungojea chakula cha kuahidiwa japo umeona kikiwa kinapikwa
kwa ufupi unatakiwa ujiandae na usumbufu wa bodi,usiisifie leo na kesho ukaiponda

good point!.
idumu haya ila ukifika chuo utaskia njaa hadi uilaani milele na milele