Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

Tunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa.

Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
View attachment 2744083
Jeshi la mtu mmoja kama milioni sitini! Kama asingepumzika, hakika Tanzania ingekuwa kama Ulaya! Bila shaka train la umeme lingekuwa safarini saa hizi! Mungu alituonea sana kwa kutuondolea huyu mwamba!
 
Samia alipoingia alisema hataki nidhamu za uoga, sawa ni jambo zuri ila tatizo ameshindwa kufanya watumishi wake kuwa na nidhamu inayohitajika pasina kuwa na uoga ndio kwanza tumerudi tulipotoka kulikokuwa hakuna nidhamu.
 
angeua watu wote abaki yy
Alikuwa hafuati Katiba wala sheria ni kutukana tukana tu ni kutembea na mabulungutu ya hela zetu za kodi yeye alikuwa anasema ni zake.

Alikuwa nyuma ya matukio ya kuua na kuteka Wapinzani rejea shambulio la kutaka kumuua Tundu Lissu, na utekaji wa Mdude Nyagali kupotezwa kwa Ben Saanane na wengine wengi.
 
Jeshi la mtu mmoja kama milioni sitini! Kama asingepumzika, hakika Tanzania ingekuwa kama Ulaya! Bila shaka train la umeme lingekuwa safarini saa hizi! Mungu alituonea sana kwa kutuondolea huyu mwamba!
Ungekula hiyo treni?? Bora Mungu alivyompumzisha sasa tumepumua, hakuna kuuana, kutekana, kufilisiana, kuporana na kupigana risasi
 
Back
Top Bottom