The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Jeshi la mtu mmoja kama milioni sitini! Kama asingepumzika, hakika Tanzania ingekuwa kama Ulaya! Bila shaka train la umeme lingekuwa safarini saa hizi! Mungu alituonea sana kwa kutuondolea huyu mwamba!Tunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa.
Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
View attachment 2744083
Jjjiwe MuuajiTunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa.
Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
View attachment 2744083
Alikuua wewe?Jjjiwe Muuaji
Jamaa angekuwepo tungelikuwa mbali sana.Jeshi la mtu mmoja kama milioni sitini! Kama asingepumzika, hakika Tanzania ingekuwa kama Ulaya! Bila shaka train la umeme lingekuwa safarini saa hizi! Mungu alituonea sana kwa kutuondolea huyu mwamba!
Bassha wakoAlikuua wewe?
angeua watu wote abaki yyJamaa angekuwepo tungelikuwa mbali sana.
We acha tu alikuwa ni mtu na nusuMagufuli Mwamba kabisa.Yaani angekaa madarakani miaka 30 hivi.Tanzania ingeingia nchi zilizoendelea.
Alikuwa hafuati Katiba wala sheria ni kutukana tukana tu ni kutembea na mabulungutu ya hela zetu za kodi yeye alikuwa anasema ni zake.angeua watu wote abaki yy
Mbona umewaza ubasha faster hivyo alikufanya vibaya nini? Kwa nini hukuwaza kingine? Alikuwa bassha wako bila shaka! Biblia inasema, limtokalo mtu ndilo liujazalo moyo wake! Bila shaka moyoni mwako umejaza ubassha tu!Bassha wako
Ungekula hiyo treni?? Bora Mungu alivyompumzisha sasa tumepumua, hakuna kuuana, kutekana, kufilisiana, kuporana na kupigana risasiJeshi la mtu mmoja kama milioni sitini! Kama asingepumzika, hakika Tanzania ingekuwa kama Ulaya! Bila shaka train la umeme lingekuwa safarini saa hizi! Mungu alituonea sana kwa kutuondolea huyu mwamba!
Unajua hata nchi zilizoendelea,maendeleo hayakuwa rahisi. Kina Napoléon walijitoa sana hadi nchi zao zikaendelea.Mama hana msuli kabisa,ona alivyomwachia January akaharibu wizara ya Nishati,mpaka leo umeme unakatika katika tu.We acha tu alikuwa ni mtu na nusu