Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Ndo hivyo tena, japo CAF wanatamani lile bato la mashabiki wa simba na ahly mitandaoni, kiwanjani timu letu ni bovu kupindukia, ni kama wale asec mimosas tu.Umeongea kwa hasira sana Aya ya mwisho
EeNa ili mliorodheshe katika yale mafanikio yenu ya kufungua whatsapp Channel
AaahaaMashabiki wa Simba wakiulizana muda huu
Kesho ushindi uhakika, ila kufuzu ndo shughuli, nadhani unaelewa namaanisha nini.Muhimu tu baada ya dakika 90 za mchezo; tusisikie kelele za kuwakataa wachezaji, na pia mwenyekiti wenu Mangungu.
Huo ushindi utapatikana uwanjani. Na siyo mdomoni.Kesho ushindi uhakika, ila kufuzu ndo shughuli, nadhani unaelewa namaanisha nini.
Ndio maana amesema Ila litimu letu libovuMuhimu tu baada ya dakika 90 za mchezo; tusisikie kelele za kuwakataa wachezaji, na pia mwenyekiti wenu Mangungu.
UKWELI MCHUNGUjapo kufuzu ndo mtihan
Wataumeza hata kwa kusukumiza na majiUKWELI MCHUNGU
Hayawi hayawi kesho yatakua.. Kesho 5imba wakaze kaliozz aseee
sawa Dogo mwasibuLipia mechi ya kesho utazame ya jmosi bure