Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Hakika hili swali ni fikirishi na linahitaji majibu .
Watanzania tunahitaji kujua hilo swali linajibiwa lini maana sisi ndiyo walipa kodi.
Kumbukeni kuwa posho na mishahara yote ya wabunge ni kodi za sisi walala hoi.View attachment 2221285
Sijui kama anaweza kulijubu.Jamaa kaibuka na swali la msingi sana maana sisi walipa kodi tupo kimya sana.
Mmeshawafukuza thread ya nini tena? Kama ninyi ni wazalendo kweli msipeleke bungeni zile nyumba zenu ndogo bungeni ili kujibu hilo swali la kodi.Hawa ndiyo waandishi tunahitaji kuwa nao.
Wabunge wanajiona kuwa wao ni untouchable
Mhhhh!!, kwamba jamaa unayemjua ni Mbunge??Mmeshawafukuza thread ya nini tena? Kama ninyi ni wazalendo kweli msipeleke bungeni zile nyumba zenu ndogo bungeni ili kujibu hilo swali la kodi.