Hakika hili swali ni fikirishi na linahitaji majibu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakika hili swali ni fikirishi na linahitaji majibu .

Watanzania tunahitaji kujua hilo swali linajibiwa lini maana sisi ndiyo walipa kodi.

Kumbukeni kuwa posho na mishahara yote ya wabunge ni kodi za sisi walala hoi.
 
Hizo zitakuwa zinagawanywa kwenye visemina vikao kamati bonanza udhamini wa michezo kugharamia mambo yasiyojulikana n.k. au nasema uongo
 
Hizo zitakuwa zinagawanywa kwenye visemina vikao kamati bonanza udhamini wa michezo kugharamia mambo yasiyojulikana n.k. au nasema uongo
Jamaa kaibuka na swali la msingi sana maana sisi walipa kodi tupo kimya sana.
 
Sijui kama anaweza kulijubu.

Huyo mwandishi kuna kitu kakinusa
Hawa ndiyo waandishi tunahitaji kuwa nao.

Wabunge wanajiona kuwa wao ni untouchable
 
Hawa ndiyo waandishi tunahitaji kuwa nao.

Wabunge wanajiona kuwa wao ni untouchable
Mmeshawafukuza thread ya nini tena? Kama ninyi ni wazalendo kweli msipeleke bungeni zile nyumba zenu ndogo bungeni ili kujibu hilo swali la kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…