Hakika huu mwaka ni wa mabadiliko hadi kwenye soka

Hakika huu mwaka ni wa mabadiliko hadi kwenye soka

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
1:Mabadilikoo had kwa Arsenal kumfunga Bayern 2:0 wakat kapoteza na olympiacos na Zagreb ukwel hata wao hawakutegemea
2:Mabadiliko kwa Chelsea had sasa yupo taabani vuvuzela mourinho kashindwa kabisa kung'ara mwaka huu maana Chelsea haina tofaut na Qpr
3:Mabadiliko kwa mashetani wekundu kwani hakuna aliyeamini wangeongoza ligi kuu kwani walibezwa kwa kusajili wazee na pongez zizid kwa Antony Martial
4:Maadiliko kwa Liverpool kwan japo tuliamin kuwa huenda klopp akatua liverpool ila hatukuzan kama ni mwaka huu
4: NATABIRI PIA MABADILIKO YATAONEKANA KWA BINGWA MTETEZ WA UEFA KUTETEA UBINGWA HUO NA KUIVUNJA ILE REKOD YA AC MILAN ILIYODUMU KWA ZAID YA MIAKA 20
 
Back
Top Bottom