JF ni kokolo kuna watu wote wa Afrika ya Mashariki nadhani labda kuacha South Sudan tu.Tuliopo JF ni Watanzania,hivyo tabia zote za Kitanzania iwe mbaya au nzuri zitakuwepo humu jukwaani
Kutegemea watu wote wawe na mtazamo na mwegemeo mmoja kwenye masuala mbalimbali yanayotofautiana, ni sawa na kujilisha upepo. Kama hata wakati wa ujamaa kuna watu walikuwa na mtazamo tofauti, itakuwa wakati huu wa utandawazi kweli ?!Kama Taifa tunapaswa kutafakari tuegemee upande upi kwa ajili ya kesho ya Taifa hili
cha ajabu sasa,Kiukweli nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali hapa jukwaani,nilichojifunza
Mosi: Ikiletwa hoja inayolinda maslahi ya Tanzania,Wengi huungana kutetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi, hapa ndipo wachache huwabagua waliowengi kwa kuwaita wenzao wapinzani.
Pili: Inapoletwa hoja inayobeba sifa ya mtu mmojammoja wachache huungana na kutoa sifa lukuki kwa huyo mtu kwa maslahi yao na kutelekeza maslahi ya umma.
Kama Taifa tunapaswa kutafakari tuegemee upande upi kwa ajili ya kesho ya Taifa hili
Nakubaliana na wewe kuhusu tofauti ya kimtizamo,lakini why hata kwa Mambo ya hovyo watetezi ni walewale wa siku zote hapa jamvini?Kutegemea watu wote wawe na mtazamo na mwegemeo mmoja kwenye masuala mbalimbali yanayotofautiana, ni sawa na kujilisha upepo. Kama hata wakati wa ujamaa kuna watu walikuwa na mtazamo tofauti, itakuwa wakati huu wa utandawazi kweli ?!
We angalia tu hata chadema, mwenyekiti wao (dikiteta uchwara) ametangaza No reform No election, lakini mmoja wa watia nia ya kugombea urais amesema hiyo ni porojo tu. Huwezi kuwaweka watu wote kwenye kifungo kimoja.
Nikishibaga magimbi akili huwaza ki great thinker,na huwa nawaza na kutaka kuanzisha mada za ukosoaji wa serikali,lakini utekaji,utesaji,upotezwaji na unyama wanaofanyiwa hao wakosoaji basi naishia kuleta hadidhi za kubuni/kubumba zinazohusiana na mambo ya mbususu,nyapu, na kula tunda kimasikhara.Ujuaji mwingi tu humu
Kila mtu anataka kuonekana anajua sana sanaholoholo
Watu wanakuja hapa kwa interests zao, na wako hapa kuzitetea hizo interests zao.Nakubaliana na wewe kuhusu tofauti ya kimtizamo,lakini why hata kwa Mambo ya hovyo watetezi ni walewale wa siku zote hapa jamvini?
Zote chai tuNikishibaga magimbi akili huwaza ki great thinker,na huwa nawaza na kutaka kuanzisha mada za ukosoaji wa serikali,lakini utekaji,utesaji,upotezwaji na unyama wanaofanyiwa hao wakosoaji basi naishia kuleta hadidhi za kubuni/kubumba zinazohusiana na mambo ya mbususu,nyapu, na kula tunda kimasikhara.
cc Mallerina